Yanayosemwa na kufanywa baada ya kutenda dhambi

Mipangilio ya kusoma
عِنْدَ فِعْلِ الذَّنْبِ أَوِ ارْتِكَابِ الْمَعْصِيَةِ
كَمَا أَخْبَرَنَا رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((مَا مِنْ عَبْدٍ يُذْنِبُ ذَنْبًا فَيَتَوَضَّأُ فَيُحْسِنُ الطُّهُورَ، ثُمَّ يَقُومُ فَيُصَلِّي رَكْعَتَيْنِ ، ثُمَّ يَسْتَغْفِرُ اللَّهَ لِذَلِكَ الذَّنْبِ إِلَّا غُفِرَ لَهُ )).
Anapotenda dhambi au kumuasi Allah
Kama alivyotuarifu Mjumbe wa Allah, rehema na amani za Allah ziwe juu yake: “Hakuna mja anayetenda dhambi kisha akatawadha na kujitakasa vizuri, akasimama na kuswali rakaa mbili, kisha akamuomba Allah msamaha kwa dhambi hiyo, ila atasamehewa.”
Maelezo na chanzo

تخريج الذكر

روى أبو بكر عن النبي ﷺ حديث التطهر والصلاة والاستغفار بعد الذنب، وفي ألفاظ الروايات اختلاف يسير.