Dua ya kutoa rambirambi
Mipangilio ya kusoma
إِنَّ لِلَّهِ مَا أَخَذَ، وَلَهُ مَا أَعْطَى، وَكُلٌّ عِنْدَهُ بِأَجَلٍ مُسَمًّى، فَلْتَصْبِرْ وَلْتَحْتَسِبْ.
Hakika alichokichukua Allah ni Chake, na alichokitoa ni Chake. Kila kitu mbele Yake kina muda ulioainishwa. Basi awe na subira na atarajie malipo Kwake.
Maelezo na chanzo
تخريج الذكر
بعث النبي ﷺ بهذا إلى ابنته حين أُصيب ولدها.