Dua chakula kinapoandaliwa na mtu akaendelea kufunga
Mipangilio ya kusoma
إِذَا دُعِيَ أَحَدُكُمْ فَلْيُجِبْ، فَإِنْ كَانَ صَائِمًا فَلْيُصَلِّ، وَإِنْ كَانَ مُفْطِرًا فَلْيَطْعَمْ.
Mmoja wenu akialikwa aitikie. Ikiwa amefunga, awaombee wenyeji, na ikiwa hakufunga, ale.