Dua kabla ya kujamiiana na mke
Mipangilio ya kusoma
الدُّعَاءُ قَبْلَ الْجِمَاعِ
بِسْمِ اللَّهِ ـ اللَّهُمَّ جَنِّبْنَا الشَّيْطَانَ، وَجَنِّبِ الشَّيْطَانَ مَا رَزَقْتَنَاDua kabla ya kujamiiana
Kwa jina la Allah. Ewe Allah, tuepushe na shetani na umuepushe shetani na utakachoturuzuku.