Dua ya kuingia kijijini au mjini
Mipangilio ya kusoma
اللَّهُمَّ رَبَّ السَّمَاوَاتِ السَّبْعِ وَمَا أَظْلَلْنَ، وَرَبَّ الْأَرَضِينَ السَّبْعِ وَمَا أَقْلَلْنَ، وَرَبَّ الشَّيَاطِينِ وَمَا أَضْلَلْنَ، وَرَبَّ الرِّيَاحِ وَمَا ذَرَيْنَ، فَإِنَّا نَسْأَلُكَ خَيْرَ هَذِهِ الْقَرْيَةِ وَخَيْرَ أَهْلِهَا، وَنَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا وَشَرِّ أَهْلِهَا، وَشَرِّ مَا فِيهَا.
Ewe Allah, Mola wa mbingu saba na vyote vilivyo katika kivuli chake, Mola wa ardhi saba na inavyobeba, Mola wa mashetani na wanaowapoteza, na Mola wa pepo na vinavyotawanywa nazo! Tunakuomba kheri ya kijiji hiki na kheri ya wakaaji wake. Tunajikinga Kwako na shari yake, shari ya wakaaji wake na shari ya yaliyomo ndani yake.
Maelezo na chanzo
تخريج الذكر
دعاء دخول القرية بلفظ المستدرك؛ وصحح الحاكم إسناده.