Dua dhidi ya adui
Mipangilio ya kusoma
اللَّهُمَّ مُنْزِلَ الْكِتَابِ، سَرِيعَ الْحِسَابِ، اهْزِمِ الْأَحْزَابَ، اهْزِمْهُمْ وَزَلْزِلْهُمْ.
Ewe Allah, Mteremshaji wa Kitabu, Mwepesi wa kuhesabu, yashinde majeshi ya washirika. Washinde na uwatikise.