Yanayosemwa katika raha na shida
Mipangilio ya kusoma
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي بِنِعْمَتِهِ تَتِمُّ الصَّالِحَاتُ.
Sifa njema zote ni za Allah ambaye kwa neema Yake mambo mema hukamilika.
Maelezo na chanzo
الْحَمْدُ لِلَّهِ عَلَى كُلِّ حَالٍ.
Sifa njema zote ni za Allah katika kila hali.