La kufanya unapopata jambo linalofurahisha
Mipangilio ya kusoma
كَانَ النَّبِيُّ ﷺ إِذَا جَاءَهُ أَمْرُ سُرُورٍ أَوْ بُشِّرَ بِهِ خَرَّ سَاجِدًا شَاكِرًا لِلَّهِ.
Mtume ﷺ akipata jambo lililomfurahisha au akipewa habari njema, alianguka kusujudu kwa kumshukuru Allah.
Maelezo na chanzo
تخريج الذكر
ورد سجود الشكر عند أمر السرور في حديث أبي بكرة.