Yanayosemwa wakati wa kuchinja au kunahiri mnyama

Mipangilio ya kusoma
بِسْمِ اللَّهِ، وَاللَّهُ أَكْبَرُ.
Kwa jina la Allah, na Allah ni Mkuu kuliko vyote.
Maelezo na chanzo

تخريج الذكر

سمّى النبي ﷺ وكبّر عند ذبح أضحيته.

بِسْمِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنْ مُحَمَّدٍ وَآلِ مُحَمَّدٍ وَمِنْ أُمَّةِ مُحَمَّدٍ.
Kwa jina la Allah. Ewe Allah, pokea kutoka kwa Muhammad, familia ya Muhammad na umma wa Muhammad.
Maelezo na chanzo

تخريج الذكر

قال النبي ﷺ ذلك عند ذبح أضحيته.