Dua ya kusikia radi

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ الرَّعْدِ
سُبْحَانَ اللَّهِ الَّذِي يُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلَائِكَةُ مِنْ خِيفَتِهِ
Dua ya radi
Ametakasika Allah ambaye radi inamtakasa kwa kumsifu, na malaika pia humtakasa kwa kumwogopa.

المصدر قيد المراجعة.