Dua wakati wa mvua na baada yake

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ نُزُولِ الْمَطَرِ
اللَّهُمَّ صَيِّبًا نَافِعًا
Dua ya mvua inaponyesha
Ewe Allah, iteremshe mvua yenye manufaa.

المصدر قيد المراجعة.

مُطِرْنَا بِفَضْلِ اللَّهِ وَرَحْمَتِهِ.
Tumenyeshewa mvua kwa fadhila na rehema ya Allah.
Maelezo na chanzo

تخريج الذكر

يقال بعد نزول المطر، كما في حديث زيد بن خالد.