Dua ya ambaye jambo limemwia gumu
Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ مَنِ اسْتَصْعَبَ عَلَيْهِ أَمْرٌ
اللَّهُمَّ لَا سَهْلَ إِلَّا مَا جَعَلْتَهُ سَهْلًا وَأَنْتَ تَجْعَلُ الْحَزْنَ إِذَا شِئْتَ سَهْلًاDua jambo linapokuwa gumu
Ewe Allah, hakuna rahisi isipokuwa ulichokifanya rahisi, na Wewe ukitaka hufanya gumu kuwa rahisi.
المصدر قيد المراجعة.