Maneno ya kuwaombea watoto kinga
Mipangilio ya kusoma
مَا يُعَوَّذُ بِهِ الْأَوْلَادُ
أُعِيذُكُمَا بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّةِ مِنْ كُلِّ شَيْطَانٍ وَهَامَّةٍ ، وَمِنْ كُلِّ عَيْنٍ لَامَّةٍDua ya kuwaombea watoto kinga
Nawaombea nyinyi wawili kinga kwa maneno kamili ya Allah dhidi ya kila shetani na kiumbe chenye madhara, na dhidi ya kila jicho lenye kudhuru.
المصدر قيد المراجعة.