Dua unapopatwa na msiba
Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ مَنْ أُصِيبَ بِمُصِيبَةٍ
إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ اللَّهُمَّ أْجُرْنِي فِي مُصِيبَتِي وَأَخْلِفْ لِي خَيْرًا مِنْهَاDua ya aliyepatwa na msiba
Hakika sisi ni wa Allah na hakika Kwake tutarejea. Ewe Allah, nilipe thawabu katika msiba wangu na unibadilishie bora kuliko huo.
المصدر قيد المراجعة.