Dua ya kuuona mwezi mwandamo

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ رُؤْيَةِ الْهِلَالِ
اللَّهُ أَكْبَرُ ، اللَّهُمَّ أَهِلَّهُ عَلَيْنَا بِالْأَمْنِ ، وَالْإِيمَانِ وَالسَّلَامَةِ ، وَالْإِسْلَامِ ، وَالتَّوْفِيقِ لِمَا تُحِبُّ وَتَرْضَى رَبُّنَا وَرَبُّكَ اللَّهُ.
Dua ya kuuona mwezi mpya
Allah ni mkubwa zaidi. Ewe Allah, utuletee mwezi huu kwa usalama, imani, afya, Uislamu na kufanikiwa katika yale unayopenda na kuyaridhia. Mola wetu na Mola wako ni Allah.

المصدر قيد المراجعة.