Dua kabla ya kula na kunywa
Mipangilio ya kusoma
الذِّكْرُ عِنْدَ الطَّعَامِ وَالشَّرَابِ
بِسْمِ اللَّهِ. فَإِنْ نَسِيَ فِي أَوَّلِهِ، فَلْيَقُلْ:
بِسْمِ اللَّهِ أَوَّلَهُ وَآخِرَهُ.
Dhikri wakati wa kula na kunywa
Kwa jina la Allah.Ikiwa atasahau mwanzoni, aseme:
Kwa jina la Allah mwanzoni na mwishoni mwake.
المصدر قيد المراجعة.
اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيهِ وَأَطْعِمْنَا خَيْرًا مِنْهُ.
Ewe Allah, tubarikie ndani yake na utulishe kilicho bora kuliko hiki.
Maelezo na chanzo
اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيهِ وَزِدْنَا مِنْهُ.
Ewe Allah, tubarikie ndani yake na utuzidishie.