Dua kwa aliyefunga ndoa

Mipangilio ya kusoma
الدُّعَاءُ لِلْمُتَزَوِّجِ
بَارَكَ اللَّهُ لَكَ ، وَبَارَكَ عَلَيْكَ ، وَجَمَعَ بَيْنَكُمَا فِي خَيْرٍ
Dua kwa aliyefunga ndoa
Allah akubariki, akuteremshie baraka na awaunganishe nyinyi wawili katika kheri.

المصدر قيد المراجعة.