Dua unapofunga ndoa au kununua mnyama wa kupanda

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ الْمُتَزَوِّجِ لِنَفْسِهِ
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَهَا وَخَيْرَ مَا جَبَلْتَهَا عَلَيْهِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا وَشَرِّ مَا جَبَلْتَهَا عَلَيْهِ ، وَإِذَا اشْتَرَى بَعِيرًا فَلْيَأْخُذْ بِذُرْوَةِ سَنَامِهِ وَلْيَقُلْ مِثْلَ ذَلِكَ
Dua ya aliyefunga ndoa kwa ajili yake mwenyewe
Ewe Allah, nakuomba kheri yake na kheri ya tabia uliyomuumba nayo, na najikinga Kwako na shari yake na shari ya tabia uliyomuumba nayo. Na akinunua ngamia, ashike sehemu ya juu ya nundu yake na aseme mfano wa hayo.

المصدر قيد المراجعة.