Dua unapomwona aliyepatwa na jaribu

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ مَنْ رَأَى مُبْتَلًى
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي عَافَانِي مِمَّا ابْتَلَاهُ بِهِ وَفَضَّلَنِي عَلَى كَثِيرٍ مِمَّنْ خَلَقَ تَفْضِيلًا
Dua ya kumuona aliyepatwa na mtihani
Sifa njema zote ni za Allah aliyenikinga na aliyomjaribu nayo na akanifadhilisha kwa fadhila juu ya wengi aliowaumba.

المصدر قيد المراجعة.