Yanayosemwa katika kikao

Mipangilio ya kusoma
مَا يُقَالُ فِي الْمَجْلِسِ
رَبِّ اغْفِرْ لِي وَتُبْ عَلَيَّ إِنَّكَ أَنْتَ التَّوَّابُ الْغَفُورُ (100 مَرَّةٍ قَبْلَ أَنْ يَقُومَ)
Yanayosemwa katika kikao
Mola wangu, nisamehe na ukubali toba yangu. Hakika Wewe ni Mwenye kukubali toba, Mwenye kusamehe. (Mara 100 kabla ya kuondoka)

المصدر قيد المراجعة.