Maneno ya kafara mwishoni mwa kikao
Mipangilio ya kusoma
كَفَّارَةُ الْمَجْلِسِ
سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَKafara ya kikao
Umetakasika, Ewe Allah, na sifa njema zote ni Zako. Nashuhudia kuwa hakuna mungu wa haki isipokuwa Wewe. Nakuomba msamaha na ninatubia Kwako.
المصدر قيد المراجعة.