Dua ya anayeogopa kumshirikisha Allah

Mipangilio ya kusoma
دُعَاءُ الْخَوْفِ مِنَ الشِّرْكِ
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أُشْرِكَ بِكَ وَأَنَا أَعْلَمُ ، وَأَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لَا أَعْلَمُ
Dua ya kuogopa kumshirikisha Allah
Ewe Allah, najikinga Kwako nisikushirikishe kwa kujua, na nakuomba unisamehe kwa nisichokijua.

المصدر قيد المراجعة.