Tafsiri ya ndoto
Kettle
Vitabu vyote vya Kiislamu
(Boiler) Seeing a kettle in a dream means sitting in the seat of honor, or it could represent a public roast.
"رَبَّنَا لَا تُزِغۡ قُلُوبَنَا بَعۡدَ إِذۡ هَدَيۡتَنَا وَهَبۡ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحۡمَةًۚ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡوَهَّابُ٨ ". [آلُ عِمْرَانَ - 8].
“Mola wetu, usizipotoshe nyoyo zetu baada ya kutuongoza, na utupe rehema kutoka Kwako. Hakika Wewe ndiye Mwenye kutoa sana.” [Aal Imran 3:8]
"رَبَّنَا ظَلَمۡنَآ أَنفُسَنَا وَإِن لَّمۡ تَغۡفِرۡ لَنَا وَتَرۡحَمۡنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ٢٣". [الْأَعْرَافِ - 23].
“Mola wetu, tumezidhulumu nafsi zetu. Usipotusamehe na kuturehemu bila shaka tutakuwa miongoni mwa wenye khasara.” [Al-Aaraf 7:23]
Adhkari zako za kila siku, bila intaneti. Bure.
Android · iPhone · iPad