"رَبِّ إِنِّي ظَلَمۡتُ نَفۡسِي فَٱغۡفِرۡ لِي". [الْقَصَصِ - 16].
"رَبِّ بِمَآ أَنۡعَمۡتَ عَلَيَّ فَلَنۡ أَكُونَ ظَهِيرٗا لِّلۡمُجۡرِمِينَ١٧". [الْقَصَصِ - 17].
"رَبِّ إِنِّي لِمَآ أَنزَلۡتَ إِلَيَّ مِنۡ خَيۡرٖ فَقِيرٞ٢٤". [الْقَصَصِ - 24].
"رَبِّ ٱشۡرَحۡ لِي صَدۡرِي٢٥ وَيَسِّرۡ لِيٓ أَمۡرِي٢٦ وَٱحۡلُلۡ عُقۡدَةٗ مِّن لِّسَانِي٢٧ يَفۡقَهُواْ قَوۡلِي٢٨". [طه - 25-28].
“Mola wangu, hakika nimejidhulumu nafsi yangu, basi nisamehe.” [Al-Qasas 28:16]
“Mola wangu, kwa neema ulizonipa, sitakuwa msaidizi wa wakosaji.” [Al-Qasas 28:17]
“Mola wangu, hakika mimi nahitaji kheri yoyote utakayoniteremshia.” [Al-Qasas 28:24]
“Mola wangu, nikunjulie kifua changu, unirahisishie jambo langu, na ufungue fundo katika ulimi wangu ili waelewe maneno yangu.” [Taha 20:25–28]
"رَّبِّ أَدۡخِلۡنِي مُدۡخَلَ صِدۡقٖ وَأَخۡرِجۡنِي مُخۡرَجَ صِدۡقٖ وَٱجۡعَل لِّي مِن لَّدُنكَ سُلۡطَٰنٗا نَّصِيرٗا٨٠ ". [الْإِسْرَاءُ - 80].
“Mola wangu, niingize kwa ingizo la kweli, na unitoe kwa tokeo la kweli, na unipe kutoka Kwako mamlaka yenye kunisaidia.” [Al-Isra 17:80]
Adhkari zako za kila siku, bila intaneti. Bure.
Android · iPhone · iPad