Tafsiri ya ndoto
الْقَيْح
Al Ihsaai
Sura في رؤية ما يلحق الإنسان من الأمراض
Sura في رؤية ما يلحق الإنسان من الأمراض
"رَبَّنَا لَا تُؤَاخِذۡنَآ إِن نَّسِينَآ أَوۡ أَخۡطَأۡنَاۚ رَبَّنَا وَلَا تَحۡمِلۡ عَلَيۡنَآ إِصۡرٗا كَمَا حَمَلۡتَهُۥ عَلَى ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِنَاۚ رَبَّنَا وَلَا تُحَمِّلۡنَا مَا لَا طَاقَةَ لَنَا بِهِۦۖ وَٱعۡفُ عَنَّا وَٱغۡفِرۡ لَنَا وَٱرۡحَمۡنَآۚ أَنتَ مَوۡلَىٰنَا فَٱنصُرۡنَا عَلَى ٱلۡقَوۡمِ ٱلۡكَٰفِرِينَ٢٨٦ ". [الْبَقَرَةُ - 286].
“Mola wetu, usitutie hatiani tukisahau au tukikosea. Mola wetu, usitutwike mzigo kama ulivyowatwika waliotutangulia. Mola wetu, usitutwike tusiyoweza kuyabeba. Tufutie makosa, utusamehe na uturehemu. Wewe ndiwe Mlinzi wetu, basi tunusuru dhidi ya watu makafiri.” [Al-Baqara 2:286]
"أَنِّي مَسَّنِيَ ٱلضُّرُّ وَأَنتَ أَرۡحَمُ ٱلرَّٰحِمِينَ٨٣". [الْأَنْبِيَاءِ - 83].
“Madhara yamenigusa, na Wewe ndiye Mwenye kurehemu zaidi kuliko wanaorehemu.” [Al-Anbiyaa 21:83]
Adhkari zako za kila siku, bila intaneti. Bure.
Android · iPhone · iPad