"رَبِّ هَبۡ لِي مِن لَّدُنكَ ذُرِّيَّةٗ طَيِّبَةًۖ إِنَّكَ سَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ٣٨ ". [آلُ عِمْرَانَ - 38].
“Mola wangu, nijalie kutoka Kwako kizazi chema. Hakika Wewe ndiwe Mwenye kusikia dua.” [Aal Imran 3:38]
"رَّبِّ ٱغۡفِرۡ لِي وَلِوَٰلِدَيَّ وَلِمَن دَخَلَ بَيۡتِيَ مُؤۡمِنٗا وَلِلۡمُؤۡمِنِينَ وَٱلۡمُؤۡمِنَٰتِۖ وَلَا تَزِدِ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا تَبَارَۢا٢٨". [نُوحٍ - 28].
"رَبِّ إِنِّيٓ أَعُوذُ بِكَ أَنۡ أَسۡـَٔلَكَ مَا لَيۡسَ لِي بِهِۦ عِلۡمٞۖ وَإِلَّا تَغۡفِرۡ لِي وَتَرۡحَمۡنِيٓ أَكُن مِّنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ٤٧". [هُودٍ - 47].
"رَّبِّ أَنزِلۡنِي مُنزَلٗا مُّبَارَكٗا وَأَنتَ خَيۡرُ ٱلۡمُنزِلِينَ٢٩". [الْمُؤْمِنُونَ - 29].
“Mola wangu, nisamehe mimi, wazazi wangu, anayeingia nyumbani mwangu akiwa muumini, na waumini wanaume na wanawake; wala usiwazidishie madhalimu ila maangamizi.” [Nuh 71:28]
“Mola wangu, najikinga Kwako nikuombe nisiyokuwa na elimu nayo. Usiponisamehe na kunirehemu, nitakuwa miongoni mwa wenye khasara.” [Hud 11:47]
“Mola wangu, niteremshe mahali penye baraka, na Wewe ndiye Mbora wa wanaoteremsha.” [Al-Muminun 23:29]
Adhkari zako za kila siku, bila intaneti. Bure.
Android · iPhone · iPad