Tafsir al-Jalalayn · Al-Baqara · Aya 231

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Al-Baqara
Aya
231 / 286
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَإِذَا طَلَّقۡتُمُ ٱلنِّسَآءَ فَبَلَغۡنَ أَجَلَهُنَّ فَأَمۡسِكُوهُنَّ بِمَعۡرُوفٍ أَوۡ سَرِّحُوهُنَّ بِمَعۡرُوفٖۚ وَلَا تُمۡسِكُوهُنَّ ضِرَارٗا لِّتَعۡتَدُواْۚ وَمَن يَفۡعَلۡ ذَٰلِكَ فَقَدۡ ظَلَمَ نَفۡسَهُۥۚ وَلَا تَتَّخِذُوٓاْ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ هُزُوٗاۚ وَٱذۡكُرُواْ نِعۡمَتَ ٱللَّهِ عَلَيۡكُمۡ وَمَآ أَنزَلَ عَلَيۡكُم مِّنَ ٱلۡكِتَٰبِ وَٱلۡحِكۡمَةِ يَعِظُكُم بِهِۦۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٞ
Na mtakapo wapa wanawake t'alaka, nao wakafikia kumaliza eda yao, basi warejeeni kwa wema au waachilieni kwa wema. Wala msiwarejee kwa kuwadhuru mkafanya uadui. Na atakaye fanya hivyo, amejidhulumu nafsi yake. Wala msizichukulie Aya za Mwenyezi Mungu kwa maskhara. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, na aliyo kuteremshieni katika Kitabu na hikima anacho kuonyeni kwacho. Na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
Wa'idhaa tallaktumu annisaa'a fabalaghna 'ajalahunna fa'amsikuuhunna bima’ruufin 'aw sarrihuuhunna bima’ruufin walaa tumsikuuhunna diraaran lita’taduu waman yaf’al dhaalika fakad dhalama nafsahu walaa tattakhidhuu 'aayaati allaahi huzuwan wadhkuruu ni’mata allaahi ’alaykum wamaa 'anzala ’alaykum mina alkitaabi walhikmati ya’idhukum bihi wattakuu allaaha wa’lamuu 'anna allaaha bikulli shay'in ’aliimun
When you divorce women and they have very nearly reached the end of their term then retain them by returning to them honourably not harming them or set them free honourably or leave them until their term is completed; do not retain them when reverting in harm dirāran is an object denoting reason to transgress that is so as to force them to redemption or to repudiate them or confine them indoors for a long time; whoever does that has wronged his soul by exposing it to God’s chastisement; take not God’s verses in mockery in jest by contravening them and remember God’s grace upon you that is Islam and the Book the Qur’ān and the wisdom the rulings contained therein He has revealed to you to exhort you therewith so that you should give thanks by acting in accordance with it; and fear God and know that God has knowledge of all things and nothing can be hidden from Him.
Rudi juu