Tafsir al-Jalalayn · Al-Baqara · Aya 68

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Al-Baqara
Aya
68 / 286
Lugha ya kitabu
Kiingereza
قَالُواْ ٱدۡعُ لَنَا رَبَّكَ يُبَيِّن لَّنَا مَا هِيَۚ قَالَ إِنَّهُۥ يَقُولُ إِنَّهَا بَقَرَةٞ لَّا فَارِضٞ وَلَا بِكۡرٌ عَوَانُۢ بَيۡنَ ذَٰلِكَۖ فَٱفۡعَلُواْ مَا تُؤۡمَرُونَ
Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni ng'ombe gani? Akasema: Hakika Yeye anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati baina ya hao. Basi fanyeni mnavyo amrishwa.
Kaaluu ud’u lanaa rabbaka yubayyin lanaa maa hiya kaala 'innahu yakuulu 'innahaa bakaratun laa faaridun walaa bikrun ’awaanun bayna dhaalika faf’aluu maa tu'maruuna
But when they realised that he was being serious They said ‘Pray to your Lord for us that He may make clear to us what she may be’ its true nature He Moses said ‘He God says she is a cow neither old nor virgin that is young middling between the two in terms of age; so do what you have been commanded’ by way of sacrificing it.
Rudi juu