Tafsir al-Jalalayn · Aal-i-Imraan · Aya 41

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Aal-i-Imraan
Aya
41 / 200
Lugha ya kitabu
Kiingereza
قَالَ رَبِّ ٱجۡعَل لِّيٓ ءَايَةٗۖ قَالَ ءَايَتُكَ أَلَّا تُكَلِّمَ ٱلنَّاسَ ثَلَٰثَةَ أَيَّامٍ إِلَّا رَمۡزٗاۗ وَٱذۡكُر رَّبَّكَ كَثِيرٗا وَسَبِّحۡ بِٱلۡعَشِيِّ وَٱلۡإِبۡكَٰرِ
Akasema: Mola wangu Mlezi! Niwekee alama. Akasema: Alama yako ni kuwa hutasema na watu kwa siku tatu, isipo kuwa kwa kuashiria tu. Na mdhukuru Mola Mlezi wako kwa wingi na mtakase jioni na asubuhi.
Kaala rabbi ij’al lii 'aayatan kaala 'aayatuka 'allaa tukallima annaasa thalaathata 'ayyaamin 'illaa ramzan wadhkur rabbaka kathiiran wasabbih bil’ashiyyi wal'ibkaari
He said ‘My Lord! Appoint for me a sign’ that is an indication of my wife’s pregnancy. He said ‘Your sign for this is that you shall not speak to men that is you shall refrain from speaking to them but not from remembrance of God save by tokens gestures for three days and nights. And remember your Lord often and glorify perform prayer at evening and dawn’ at the end of the day and at its beginning.
Rudi juu