Tafsir al-Jalalayn · Faatir · Aya 39

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Faatir
Aya
39 / 45
Lugha ya kitabu
Kiingereza
هُوَ ٱلَّذِي جَعَلَكُمۡ خَلَٰٓئِفَ فِي ٱلۡأَرۡضِۚ فَمَن كَفَرَ فَعَلَيۡهِ كُفۡرُهُۥۖ وَلَا يَزِيدُ ٱلۡكَٰفِرِينَ كُفۡرُهُمۡ عِندَ رَبِّهِمۡ إِلَّا مَقۡتٗاۖ وَلَا يَزِيدُ ٱلۡكَٰفِرِينَ كُفۡرُهُمۡ إِلَّا خَسَارٗا
Yeye ndiye aliye kufanyeni manaibu katika ardhi. Na anaye kufuru, basi kufuru yake ni juu yake; na kufuru za makafiri haziwazidishii kwa Mola wao Mlezi ila kuchukiwa. Wala kufuru za makafiri haziwazidishii ila khasara.
Huwa alladhii ja’alakum khalaa'ifa fii al'ardi faman kafara fa’alayhi kufruhu walaa yaziidu alkaafiriina kufruhum ’inda rabbihim 'illaa maktan walaa yaziidu alkaafiriina kufruhum 'illaa khasaaran
It is He Who made you successors in the earth khalā’if ‘successors’ is the plural of khalīfa in other words one succeeding the other. So whoever disbelieves of you his disbelief will be to his own detriment that is the evil consequences of his disbelief will be so. And their disbelief does not increase the disbelievers with their Lord in anything except disfavour wrath. And their disbelief does not increase the disbelievers in anything except loss of the reward of the Hereafter.
Rudi juu