Tafsir al-Jalalayn · Az-Zumar · Aya 65

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Az-Zumar
Aya
65 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَقَدۡ أُوحِيَ إِلَيۡكَ وَإِلَى ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِكَ لَئِنۡ أَشۡرَكۡتَ لَيَحۡبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ
Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
Walakad 'uuhiya 'ilayka wa'ilaa alladhiina min kablika la'in 'ashrakta layahbatanna ’amaluka walatakuunanna mina alkhaasiriina
And certainly it has been revealed to you and to those before you that by God! if you associate others with God O Muhammad (s) — hypothetically — your work shall surely fail and you shall surely be among the losers’.
Rudi juu