Tafsir al-Jalalayn · Al-Maaida · Aya 116

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Al-Maaida
Aya
116 / 120
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَإِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَى ٱبۡنَ مَرۡيَمَ ءَأَنتَ قُلۡتَ لِلنَّاسِ ٱتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيۡنِ مِن دُونِ ٱللَّهِۖ قَالَ سُبۡحَٰنَكَ مَا يَكُونُ لِيٓ أَنۡ أَقُولَ مَا لَيۡسَ لِي بِحَقٍّۚ إِن كُنتُ قُلۡتُهُۥ فَقَدۡ عَلِمۡتَهُۥۚ تَعۡلَمُ مَا فِي نَفۡسِي وَلَآ أَعۡلَمُ مَا فِي نَفۡسِكَۚ إِنَّكَ أَنتَ عَلَّٰمُ ٱلۡغُيُوبِ
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
Wa'idh kaala allaahu yaa ’iisaa ibna maryama 'a'anta kulta linnaasi ittakhidhuunii wa'ummiya 'ilaahayni min duuni allaahi kaala subhaanaka maa yakuunu lii 'an 'akuula maa laysa lii bihakkin 'in kuntu kultuhu fakad ’alimtahu ta’lamu maa fii nafsii walaa 'a’lamu maa fii nafsika 'innaka 'anta ’allaamu alghuyuubi
And mention when God says that is when God will say to Jesus at the Resurrection in rebuke of his followers ‘O Jesus son of Mary did you say to mankind “Take me and my mother as gods besides God”?’ He Jesus says shuddering ‘Glory be to You! exalted be You above all that does not befit You such as having a partner and so on. It is not mine it is unjustified for me to say what I have no right to bi-haqq ‘right to’ is the predicate of laysa ‘not’; lī ‘mine’ is explicative. If I indeed had said it You would have known it. You know what is hidden by me in my self but I do not know what is within Your Self that is what You keep hidden of Your knowledge You are the Knower of things unseen.
Rudi juu