Tafsir al-Jalalayn · Al-A'raaf · Aya 89

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Al-A'raaf
Aya
89 / 206
Lugha ya kitabu
Kiingereza
قَدِ ٱفۡتَرَيۡنَا عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًا إِنۡ عُدۡنَا فِي مِلَّتِكُم بَعۡدَ إِذۡ نَجَّىٰنَا ٱللَّهُ مِنۡهَاۚ وَمَا يَكُونُ لَنَآ أَن نَّعُودَ فِيهَآ إِلَّآ أَن يَشَآءَ ٱللَّهُ رَبُّنَاۚ وَسِعَ رَبُّنَا كُلَّ شَيۡءٍ عِلۡمًاۚ عَلَى ٱللَّهِ تَوَكَّلۡنَاۚ رَبَّنَا ٱفۡتَحۡ بَيۡنَنَا وَبَيۡنَ قَوۡمِنَا بِٱلۡحَقِّ وَأَنتَ خَيۡرُ ٱلۡفَٰتِحِينَ
Bila ya shaka itakuwa tumemzulia uwongo Mwenyezi Mungu tukirudi katika mila yenu baada ya kwisha tuokoa nayo Mwenyezi Mungu. Wala haiwi kwetu sisi kuirejea mila hiyo, ila akitaka Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wetu. Ujuzi wa Mola Mlezi wetu umeenea katika kila kitu. Kwa Mwenyezi Mungu tunategemea. Ewe Mola Mlezi wetu! Tuhukumie baina yetu na kaumu yetu kwa haki, nawe ndiye mbora wa wanao hukumu.
Kadi iftaraynaa ’alaa allaahi kadhiban 'in ’udnaa fii millatikum ba’da 'idh najjaanaa allaahu minhaa wamaa yakuunu lanaa 'an na’uuda fiihaa 'illaa 'an yashaa'a allaahu rabbunaa wasi’a rabbunaa kulla shay'in ’ilman ’alaa allaahi tawakkalnaa rabbanaa iftah baynanaa wabayna kawminaa bilhakki wa'anta khayru alfaatihiina
We would be forging a lie against God if we were to return to your creed after God has delivered us from it. It is not right for us to return to it unless God our Lord wills that it be so and forsakes us. Our Lord embraces all things through His knowledge that is to say His knowledge embraces all things including my situation and yours. In God we have put our trust. Our Lord decide adjudicate between us and our people for You are the best of deciders’ adjudicators.
Rudi juu