Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs · Az-Zumar · Aya 47

Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs

Sura
Az-Zumar
Aya
47 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَوۡ أَنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُواْ مَا فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا وَمِثۡلَهُۥ مَعَهُۥ لَٱفۡتَدَوۡاْ بِهِۦ مِن سُوٓءِ ٱلۡعَذَابِ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۚ وَبَدَا لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مَا لَمۡ يَكُونُواْ يَحۡتَسِبُونَ
Na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na pamoja navyo vingine kama hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo Siku ya Kiyama. Na yatawadhihirikia kwa Mwenyezi Mungu wasiyo kuwa wakiyatarajia.
Walaw 'anna lilladhiina dhalamuu maa fii al'ardi jamii’an wamithlahu ma’ahu laftadaw bihi min suu'i al’adhaabi yawma alkiyaamati wabadaa lahum mina allaahi maa lam yakuunuu yahtasibuuna
(And though those who do wrong) the idolaters (possess all that is in the earth, and therewith as much again) double of that, (they verily will seek to ransom themselves therewith on the Day of Resurrection from the awful doom) from the severe chastisement; (and there will appear unto them, from their Lord) from their Lord's chastisement, (that wherewith they never reckoned) that which they never thought.
Rudi juu