Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs · Al-A'raaf · Aya 71

Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs

Sura
Al-A'raaf
Aya
71 / 206
Lugha ya kitabu
Kiingereza
قَالَ قَدۡ وَقَعَ عَلَيۡكُم مِّن رَّبِّكُمۡ رِجۡسٞ وَغَضَبٌۖ أَتُجَٰدِلُونَنِي فِيٓ أَسۡمَآءٖ سَمَّيۡتُمُوهَآ أَنتُمۡ وَءَابَآؤُكُم مَّا نَزَّلَ ٱللَّهُ بِهَا مِن سُلۡطَٰنٖۚ فَٱنتَظِرُوٓاْ إِنِّي مَعَكُم مِّنَ ٱلۡمُنتَظِرِينَ
Akasema: Bila ya shaka adhabu na ghadhabu zimekwisha kukuangukieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo yaita nyinyi na baba zenu ambayo kwayo Mwenyezi Mungu hakuteremsha uthibitisho? Basi ngojeni, mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngoja.
Kaala kad waka’a ’alaykum min rabbikum rijsun waghadabun 'atujaadiluunanii fii 'asmaa'in sammaytumuuhaa 'antum wa'aabaa'ukum maa nazzala allaahu bihaa min sultaanin fantadhiruu 'innii ma’akum mina almuntadhiriina
(He said: Terror) torment (and wrath from your Lord have already fallen on you) have been decreed upon you. (Would ye wrangle) argue (with me over names) idols (which ye have named, ye and your fathers) they you named as gods, (for which) for the worship of which (no warrant) no scripture or proof (from Allah hath been revealed? Then await) my destruction, (Lo! I (also) am of those awaiting) your destruction.
Rudi juu