Asbab Al-Nuzul by Al-Wahidi · Az-Zumar · Aya 23

Asbab Al-Nuzul by Al-Wahidi

Sura
Az-Zumar
Aya
23 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
ٱللَّهُ نَزَّلَ أَحۡسَنَ ٱلۡحَدِيثِ كِتَٰبٗا مُّتَشَٰبِهٗا مَّثَانِيَ تَقۡشَعِرُّ مِنۡهُ جُلُودُ ٱلَّذِينَ يَخۡشَوۡنَ رَبَّهُمۡ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمۡ وَقُلُوبُهُمۡ إِلَىٰ ذِكۡرِ ٱللَّهِۚ ذَٰلِكَ هُدَى ٱللَّهِ يَهۡدِي بِهِۦ مَن يَشَآءُۚ وَمَن يُضۡلِلِ ٱللَّهُ فَمَا لَهُۥ مِنۡ هَادٍ
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
Allaahu nazzala 'ahsana alhadiithi kitaaban mutashaabihan mathaaniya taksha’irru minhu juluudu alladhiina yakhshawna rabbahum thumma taliinu juluuduhum wakuluubuhum 'ilaa dhikri allaahi dhaalika hudaa allaahi yahdii bihi man yashaa'u waman yudlili allaahu famaa lahu min haadin
(Allah hath (now) revealed the fairest of statements…) [39:23]. ‘Abd al-Qahir ibn Tahir al-Baghdadi informed us> Abu ‘Amr ibn Matar> Ja‘far ibn Muhammad al-Firyabi> Ishaq ibn Rahwayh> ‘Amr ibn Muhammad al-Qurashi> Khallad al-Saffar> ‘Amr ibn Qays al-Mula’i> ‘Amr ibn Murrah> Mus‘ab ibn Sa‘d [ibn Abi Waqqas] who said: “They said: ‘O Messenger of Allah, why do you not relate to us statements’, and so Allah, exalted is He, revealed (Allah hath (now) revealed the fairest of statements…)”.
Rudi juu