Kashani Tafsir · Al-Baqara · Aya 110

Kashani Tafsir

Sura
Al-Baqara
Aya
110 / 286
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَۚ وَمَا تُقَدِّمُواْ لِأَنفُسِكُم مِّنۡ خَيۡرٖ تَجِدُوهُ عِندَ ٱللَّهِۗ إِنَّ ٱللَّهَ بِمَا تَعۡمَلُونَ بَصِيرٞ
Na shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo jitangulizia nafsi zenu mtazikuta kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yafanya.
Wa'akiimuu assalaata wa'aatuu azzakaata wamaa tukaddimuu li'anfusikum min khayrin tajiduuhu ’inda allaahi 'inna allaaha bimaa ta’maluuna basiirun
And perform the prayer, and pay the alms; whatever good you shall offer for your own souls, you shall find it with God; assuredly God sees what you do].
Rudi juu