Kashani Tafsir · Al-Baqara · Aya 87

Kashani Tafsir

Sura
Al-Baqara
Aya
87 / 286
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَٰبَ وَقَفَّيۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِۦ بِٱلرُّسُلِۖ وَءَاتَيۡنَا عِيسَى ٱبۡنَ مَرۡيَمَ ٱلۡبَيِّنَٰتِ وَأَيَّدۡنَٰهُ بِرُوحِ ٱلۡقُدُسِۗ أَفَكُلَّمَا جَآءَكُمۡ رَسُولُۢ بِمَا لَا تَهۡوَىٰٓ أَنفُسُكُمُ ٱسۡتَكۡبَرۡتُمۡ فَفَرِيقٗا كَذَّبۡتُمۡ وَفَرِيقٗا تَقۡتُلُونَ
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
Walakad 'aataynaa muusaa alkitaaba wakaffaynaa min ba’dihi birrusuli wa'aataynaa ’iisaa ibna maryama albayyinaati wa'ayyadnaahu biruuhi alkudusi 'afakullamaa jaa'akum rasuulun bimaa laa tahwaa 'anfusukumu istakbartum fafariikan kadhdhabtum wafariikan taktuluuna
And verily We gave Moses the Scripture, to where He says as though they did not know [Q. 2:101] …[and after him We sent successive messengers, and We gave Jesus son of Mary the clear proofs, and We confirmed him with the Holy Spirit, and whenever there came to you a messenger, with what your souls did not desire, you became arrogant; and some, you called liars, and some you slayḍ
Rudi juu