Kashani Tafsir · Al-Baqara · Aya 96

Kashani Tafsir

Sura
Al-Baqara
Aya
96 / 286
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَتَجِدَنَّهُمۡ أَحۡرَصَ ٱلنَّاسِ عَلَىٰ حَيَوٰةٖ وَمِنَ ٱلَّذِينَ أَشۡرَكُواْۚ يَوَدُّ أَحَدُهُمۡ لَوۡ يُعَمَّرُ أَلۡفَ سَنَةٖ وَمَا هُوَ بِمُزَحۡزِحِهِۦ مِنَ ٱلۡعَذَابِ أَن يُعَمَّرَۗ وَٱللَّهُ بَصِيرُۢ بِمَا يَعۡمَلُونَ
Na hakika utawaona ni wenye kuwashinda watu wote kwa pupa ya kuishi, na kuliko washirikina. Kila mmoja wao anatamani lau angeli pewa umri wa miaka elfu. Wala hayo ya kuzidishiwa umri hayamuondoshei adhabu; na Mwenyezi Mungu anayaona wanayo yatenda.
Walatajidannahum 'ahrasa annaasi ’alaa hayaatin wamina alladhiina 'ashrakuu yawaddu 'ahaduhum law yu’ammaru 'alfa sanatin wamaa huwa bimuzahzihihi mina al’adhaabi 'an yu’ammara wallaahu basiirun bimaa ya’maluuna
And you shall find them the people most covetous of life, and the idolaters; any one of them would love that he might be given life for a thousand years; yet, his being given life shall not budge him from the chastisement. God sees what they do.
Rudi juu