هُوَ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ عَلَيۡكَ ٱلۡكِتَٰبَ مِنۡهُ ءَايَٰتٞ مُّحۡكَمَٰتٌ هُنَّ أُمُّ ٱلۡكِتَٰبِ وَأُخَرُ مُتَشَٰبِهَٰتٞۖ فَأَمَّا ٱلَّذِينَ فِي قُلُوبِهِمۡ زَيۡغٞ فَيَتَّبِعُونَ مَا تَشَٰبَهَ مِنۡهُ ٱبۡتِغَآءَ ٱلۡفِتۡنَةِ وَٱبۡتِغَآءَ تَأۡوِيلِهِۦۖ وَمَا يَعۡلَمُ تَأۡوِيلَهُۥٓ إِلَّا ٱللَّهُۗ وَٱلرَّٰسِخُونَ فِي ٱلۡعِلۡمِ يَقُولُونَ ءَامَنَّا بِهِۦ كُلّٞ مِّنۡ عِندِ رَبِّنَاۗ وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّآ أُوْلُواْ ٱلۡأَلۡبَٰبِ ٧
Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.
Huwa alladhii 'anzala ’alayka alkitaaba minhu 'aayaatun muhkamaatun hunna 'ummu alkitaabi wa'ukharu mutashaabihaatun fa'ammaa alladhiina fii kuluubihim zayghun fayattabi’uuna maa tashaabaha minhu ibtighaa'a alfitnati wabtighaa'a ta'wiilihi wamaa ya’lamu ta'wiilahu 'illaa allaahu warraasikhuuna fii al’ilmi yakuuluuna 'aamannaa bihi kullun min ’indi rabbinaa wamaa yadhdhakkaru 'illaa 'uluu al'albaabi
The difficult is so the elect may reach the mystery of the Beneficent by surrendering and attesting to it.From the place of blessings and joy to the place of intimacy and mystery are numerous ups and downs. Given the exaltedness of this state and the eminence of this work, He did not lift upthe curtain of abstruseness and ambiguity, lest any of the non-privy walk into this street, for not everyone is worthy to know the secrets of kings.Go, don't wander round the pavilion of secrets!Why try? You're no man for this battle.It needs a man cut off from both worldsto drink down the dregs of the friends' draft.