Tafsir al-Jalalayn · Ar-Ra'd · Aya 38

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Ar-Ra'd
Aya
38 / 43
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا رُسُلٗا مِّن قَبۡلِكَ وَجَعَلۡنَا لَهُمۡ أَزۡوَٰجٗا وَذُرِّيَّةٗۚ وَمَا كَانَ لِرَسُولٍ أَن يَأۡتِيَ بِـَٔايَةٍ إِلَّا بِإِذۡنِ ٱللَّهِۗ لِكُلِّ أَجَلٖ كِتَابٞ
Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake.
Walakad 'arsalnaa rusulan min kablika waja’alnaa lahum 'azwaajan wadhurriyyatan wamaa kaana lirasuulin 'an ya'tiya bi'aayatin 'illaa bi'idhni allaahi likulli 'ajalin kitaabun
And when they derided him for having many wives the following was revealed And indeed We sent messengers before you and We assigned to them wives and seed children — and you are like them; and it was not for any Messenger from among them that he should bring a sign save by God’s leave because they are servants enthralled by Him. For every term period there is a Book wherein is inscribed its delimitation.
Rudi juu