وَٱتَّبَعُواْ مَا تَتۡلُواْ ٱلشَّيَٰطِينُ عَلَىٰ مُلۡكِ سُلَيۡمَٰنَۖ وَمَا كَفَرَ سُلَيۡمَٰنُ وَلَٰكِنَّ ٱلشَّيَٰطِينَ كَفَرُواْ يُعَلِّمُونَ ٱلنَّاسَ ٱلسِّحۡرَ وَمَآ أُنزِلَ عَلَى ٱلۡمَلَكَيۡنِ بِبَابِلَ هَٰرُوتَ وَمَٰرُوتَۚ وَمَا يُعَلِّمَانِ مِنۡ أَحَدٍ حَتَّىٰ يَقُولَآ إِنَّمَا نَحۡنُ فِتۡنَةٞ فَلَا تَكۡفُرۡۖ فَيَتَعَلَّمُونَ مِنۡهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِۦ بَيۡنَ ٱلۡمَرۡءِ وَزَوۡجِهِۦۚ وَمَا هُم بِضَآرِّينَ بِهِۦ مِنۡ أَحَدٍ إِلَّا بِإِذۡنِ ٱللَّهِۚ وَيَتَعَلَّمُونَ مَا يَضُرُّهُمۡ وَلَا يَنفَعُهُمۡۚ وَلَقَدۡ عَلِمُواْ لَمَنِ ٱشۡتَرَىٰهُ مَا لَهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِنۡ خَلَٰقٖۚ وَلَبِئۡسَ مَا شَرَوۡاْ بِهِۦٓ أَنفُسَهُمۡۚ لَوۡ كَانُواْ يَعۡلَمُونَ ١٠٢
Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua.
Wattaba’uu maa tatluu ashshayaatiinu ’alaa mulki sulaymaana wamaa kafara sulaymaanu walaakinna ashshayaatiina kafaruu yu’allimuuna annaasa assihra wamaa 'unzila ’alaa almalakayni bibaabila haaruuta wamaaruuta wamaa yu’allimaani min 'ahadin hattaa yakuulaa 'innamaa nahnu fitnatun falaa takfur fayata’allamuuna minhumaa maa yufarrikuuna bihi bayna almar'i wazawjihi wamaa hum bidaarriina bihi min 'ahadin 'illaa bi'idhni allaahi wayata’allamuuna maa yadurruhum walaa yanfa’uhum walakad ’alimuu lamani ishtaraahu maa lahu fii al'aakhirati min khalaakin walabi'sa maa sharaw bihi 'anfusahum law kaanuu ya’lamuuna
From them they learned how they might cause division between a man and his wife so that they would hate each other yet they the sorcerers did not hurt any man thereby that is by this magic save by the leave of God by His will; and they learned what hurt them in the Hereafter and did not profit them and this was sorcery. And surely the lām of la-qad ‘surely’ is for oaths they the Jews knew well that whoever la-man the lām denotes part of the subject of the sentence and is semantically connected to what precedes it; the man introduces the relative clause buys it whoever chooses it and took it in place of God’s Book he shall have no share in the Hereafter that is no portion of Paradise; evil then would have been the thing that they sold themselves for those sellers that is to say the portion due for this act in the Hereafter if they were to learn it; for it would have made the Fire obligatory in their case; if they had but known the reality of the chastisement they would be destined for they would not have learnt it.