Tafsir al-Jalalayn · Al-Anbiyaa · Aya 36

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Al-Anbiyaa
Aya
36 / 112
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَإِذَا رَءَاكَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِن يَتَّخِذُونَكَ إِلَّا هُزُوًا أَهَٰذَا ٱلَّذِي يَذۡكُرُ ءَالِهَتَكُمۡ وَهُم بِذِكۡرِ ٱلرَّحۡمَٰنِ هُمۡ كَٰفِرُونَ
Na wakikuona walio kufuru hawakufanyi wewe ila ni kitu cha maskhara tu, (wakisema): Je! Ndiye huyu anaye itaja miungu yenu? Na hali wao wanakataa kumkumbuka Arrahman, Mwingi wa Rehema!
Wa'idhaa ra'aaka alladhiina kafaruu 'in yattakhidhuunaka 'illaa huzuwan 'ahaadhaa alladhii yadhkuru 'aalihatakum wahum bidhikri arrahmaani hum kaafiruuna
And whenever the disbelievers see you they only take you in derision that is as one to be derided saying ‘Is this the one who mentions your gods?’ that is the one who derides them? And yet when it comes to the mention of the Compassionate One to them they hum repeated for emphasis are disbelieving of it saying ‘We do not know of any such individual’.
Rudi juu