Tafsir al-Jalalayn · Az-Zumar · Aya 10

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Az-Zumar
Aya
10 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
قُلۡ يَٰعِبَادِ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ رَبَّكُمۡۚ لِلَّذِينَ أَحۡسَنُواْ فِي هَٰذِهِ ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةٞۗ وَأَرۡضُ ٱللَّهِ وَٰسِعَةٌۗ إِنَّمَا يُوَفَّى ٱلصَّٰبِرُونَ أَجۡرَهُم بِغَيۡرِ حِسَابٖ
Sema: Enyi waja wangu mlio amini! Mcheni Mola wenu Mlezi. Wale wafanyao wema katika dunia hii watapata wema. Na ardhi ya Mwenyezi Mungu ni kunjufu. Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.
Kul yaa ’ibaadi alladhiina 'aamanuu uttakuu rabbakum lilladhiina 'ahsanuu fii haadhihi addunyaa hasanatun wa'ardu allaahi waasi’atun 'innamaa yuwaffaa assaabiruuna 'ajrahum bighayri hisaabin
Say ‘O servants of Mine who believe! Fear your Lord that is to say fear His chastisement by being obedient to Him. For those who are virtuous in this world through obedience there will be good and that is Paradise and God’s earth is vast so emigrate throughout it away from the company of disbelievers and the sight of indecencies. Truly the steadfast in their obedience of God and in enduring whatever hardship they may be tested with will be paid their reward in full without any reckoning’ without any measure or any scales to work it out.
Rudi juu