Tafsir al-Jalalayn · Az-Zumar · Aya 47

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Az-Zumar
Aya
47 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
وَلَوۡ أَنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُواْ مَا فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا وَمِثۡلَهُۥ مَعَهُۥ لَٱفۡتَدَوۡاْ بِهِۦ مِن سُوٓءِ ٱلۡعَذَابِ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۚ وَبَدَا لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مَا لَمۡ يَكُونُواْ يَحۡتَسِبُونَ
Na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na pamoja navyo vingine kama hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo Siku ya Kiyama. Na yatawadhihirikia kwa Mwenyezi Mungu wasiyo kuwa wakiyatarajia.
Walaw 'anna lilladhiina dhalamuu maa fii al'ardi jamii’an wamithlahu ma’ahu laftadaw bihi min suu'i al’adhaabi yawma alkiyaamati wabadaa lahum mina allaahi maa lam yakuunuu yahtasibuuna
And even if the evildoers possessed all that is in the earth and as much of it besides they would surely offer it to ransom themselves from the terrible chastisement on the Day of Resurrection. And there will appear there will become manifest to them from God that which they had never reckoned what they never supposed they would see.
Rudi juu