Tafsir al-Jalalayn · An-Nisaa · Aya 136

Tafsir al-Jalalayn

Sura
An-Nisaa
Aya
136 / 176
Lugha ya kitabu
Kiingereza
يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ ءَامِنُواْ بِٱللَّهِ وَرَسُولِهِۦ وَٱلۡكِتَٰبِ ٱلَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِۦ وَٱلۡكِتَٰبِ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ مِن قَبۡلُۚ وَمَن يَكۡفُرۡ بِٱللَّهِ وَمَلَٰٓئِكَتِهِۦ وَكُتُبِهِۦ وَرُسُلِهِۦ وَٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ فَقَدۡ ضَلَّ ضَلَٰلَۢا بَعِيدًا
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.
Yaa 'ayyuhaa alladhiina 'aamanuu 'aaminuu billaahi warasuulihi walkitaabi alladhii nazzala ’alaa rasuulihi walkitaabi alladhii 'anzala min kablu waman yakfur billaahi wamalaa'ikatihi wakutubihi warusulihi walyawmi al'aakhiri fakad dalla dalaalan ba’iidan
O you who believe believe with perseverance in God and His Messenger and the Book which has been revealed to His Messenger Muhammad (s) and that is the Qur’ān; and the Book which was revealed before to the messengers namely the scriptures a variant reading for nuzzila and unzila ‘was revealed’ has the active form for both verbs nazzala and anzala ‘He revealed’. And whoever disbelieves in God and His angels and His Books and His messengers and the Last Day verily he has strayed far away from the truth.
Rudi juu