Tafsir al-Jalalayn · An-Nisaa · Aya 7

Tafsir al-Jalalayn

Sura
An-Nisaa
Aya
7 / 176
Lugha ya kitabu
Kiingereza
لِّلرِّجَالِ نَصِيبٞ مِّمَّا تَرَكَ ٱلۡوَٰلِدَانِ وَٱلۡأَقۡرَبُونَ وَلِلنِّسَآءِ نَصِيبٞ مِّمَّا تَرَكَ ٱلۡوَٰلِدَانِ وَٱلۡأَقۡرَبُونَ مِمَّا قَلَّ مِنۡهُ أَوۡ كَثُرَۚ نَصِيبٗا مَّفۡرُوضٗا
Wanaume wana sehemu katika wanayo yaacha wazazi na jamaa walio karibia. Na wanawake wanayo sehemu katika waliyo yaacha wazazi na jamaa walio karibia. Ikiwa kidogo au kingi. Hizi ni sehemu zilizo faridhiwa.
Lirrijaali nasiibun mimmaa taraka alwaalidaani wal'akrabuuna walinnisaa'i nasiibun mimmaa taraka alwaalidaani wal'akrabuuna mimmaa kalla minhu 'aw kathura nasiiban mafruudan
The following was revealed as a repudiation of pre-Islamic practices in which women and children were not given any inheritance To the men young ones and kin belongs a share a portion of what deceased parents and kinsmen leave and to the women belongs a share of what parents and kinsmen leave whether it the property be little or much. God has made it an obligatory share apportioned to be given to them.
Rudi juu