Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs · Ar-Ra'd · Aya 5

Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs

Sura
Ar-Ra'd
Aya
5 / 43
Lugha ya kitabu
Kiingereza
۞وَإِن تَعۡجَبۡ فَعَجَبٞ قَوۡلُهُمۡ أَءِذَا كُنَّا تُرَٰبًا أَءِنَّا لَفِي خَلۡقٖ جَدِيدٍۗ أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ بِرَبِّهِمۡۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ ٱلۡأَغۡلَٰلُ فِيٓ أَعۡنَاقِهِمۡۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلنَّارِۖ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ
Na kama ukistaajabu, basi cha ajabu zaidi ni huo usemi wao: Ati tukisha kuwa mchanga kweli tutakuwa katika umbo jipya? Hao ndio walio mkufuru Mola wao Mlezi. Na hao ndio watao kuwa na makongwa shingoni mwao, na hao ndio watu wa Motoni. Humo watadumu.
Wa'in ta’jab fa’ajabun kawluhum 'a'idhaa kunnaa turaaban 'a'innaa lafii khalkin jadiidin 'ulaa'ika alladhiina kafaruu birabbihim wa'ulaa'ika al'aghlaalu fii 'a’naakihim wa'ulaa'ika 'as-haabu annaari hum fiihaa khaaliduuna
(And if thou wonderest) at their disbelief in you, (then wondrous is their saying) then their saying is more amazing, since they have said: (When we are dust, are we then forsooth (to be raised) in a new creation) are we going to be revived after we die and be raised with souls? (Such) those who deny the Resurrection (are they who disbelieve in their Lord; such) the disbelieving folk (have carcans on their necks) they have chains on their hands tied up to their necks; (such) those who are chained (are rightful owners of the Fire) the dwellers of hell, (they will abide therein) they will dwell therein, never to die or come out of it.
Rudi juu