Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs · Az-Zumar · Aya 42

Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs

Sura
Az-Zumar
Aya
42 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
ٱللَّهُ يَتَوَفَّى ٱلۡأَنفُسَ حِينَ مَوۡتِهَا وَٱلَّتِي لَمۡ تَمُتۡ فِي مَنَامِهَاۖ فَيُمۡسِكُ ٱلَّتِي قَضَىٰ عَلَيۡهَا ٱلۡمَوۡتَ وَيُرۡسِلُ ٱلۡأُخۡرَىٰٓ إِلَىٰٓ أَجَلٖ مُّسَمًّىۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَٰتٖ لِّقَوۡمٖ يَتَفَكَّرُونَ
MWENYEZI MUNGU huzipokea roho zinapo kufa. Na zile zisio kufa wakati wa kulala kwake, huzishika zilizo hukumiwa kufa, na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa. Hakika katika hayo bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri.
Allaahu yatawaffaa al'anfusa hiina mawtihaa wallatii lam tamut fii manaamihaa fayumsiku allatii kadaa ’alayhaa almawta wayursilu al'ukhraa 'ilaa 'ajalin musamman 'inna fii dhaalika la'aayaatin likawmin yatafakkaruuna
(Allah receiveth (men's) souls) Allah takes to Himself the souls of people (at the time of their death) their sleep, (and that (soul) which dieth not (yet) in its sleep. He keepeth that (soul) for which He hath ordained death and dismisseth the rest till an appointed term. Lo herein) in keeping and releasing souls (verily are portents) signs and admonitions (for people who take thought) for people who reflect on this.
Rudi juu