Tafsir al-Tustari · Al-Anbiyaa · Aya 35

Tafsir al-Tustari

Sura
Al-Anbiyaa
Aya
35 / 112
Lugha ya kitabu
Kiingereza
كُلُّ نَفۡسٖ ذَآئِقَةُ ٱلۡمَوۡتِۗ وَنَبۡلُوكُم بِٱلشَّرِّ وَٱلۡخَيۡرِ فِتۡنَةٗۖ وَإِلَيۡنَا تُرۡجَعُونَ
Kila nafsi itaonja mauti; na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa.
Kullu nafsin dhaa'ikatu almawti wanabluukum bishsharri walkhayri fitnatan wa'ilaynaa turja’uuna
…We test you with ill and good by way of a trial…He said:Ill (sharr) is the following of the lower self and desire (hawā), without guidance. Good (khayr) is [being granted] protection (ʿiṣma) from disobedience, and assistance (maʿūna) in obedience.His words, Exalted is He:
Rudi juu